SALAMU ZA MWAKA MPYA

Habari ndugu Msomaji na mfuatiliaji wa makala zetu katika blogu yako  pendwa ya Joche Motivates You. Kwa takribani miezi minne sasa tumekuwa tukikuletea makala tofauti tofauti na kupokea maoni kadha wa kadha na miongozo na waliotukosa ili kuona tunazidi kusogea mbele na kutoa elimu kwa watu wote wa rika zote. Kwakweli tunapenda kuwashukuru sana sana, maana mmefenyika kuwa sababu ya mafanikio yetu na kusogea mbele zaidi. Katika mwaka 2017 tumejifunza na katika mwaka 2018 tutatekeleza kwa ufanisi zaidi ili kuona tunafanikiwa kusambaa ndani ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania kutoa elimu ya kujitambua kwa watu wote. Tunapenda kukutakia Heri ya Mwaka Mpya 2018 ukawe wa manufaa na mafanikio. Kumbuka mafanikio yapo mbele yako lakini umakini wako na kujitoa kwako bila kuchoka ndio siri ya kuyafikia. Usikate tamaa, kuanguka sio mwisho wa safari, unaweza inuka na kuendelea mbele na mwisho wa mwaka uwe na sababu ya kushangilia ushindi kwa yale umefanikiwa na kumefikia..


Joche TeamAuthors (Jose & Rachel)


HAPPY NEW YEAR


HAPPY NEW YEAR


---------------------------------------------------------
Joche Team

No comments

Featured post

MAMBO NANE YANAYOWAVUTIA WATEJA WENGI

 MAMBO NANE YANAYOWAVUTIA WATEJA WENGI 1.Kuhudumiwa na Mtu anaye SMILES. Humfanya mteja ajihisi yuko huru zaidi kuuliza na kuamini unaweza k...