FIKIRIA (THINK)!!
Imeandikwa na Joche na kuletwa kwako kupitia JocheApp
✍🏼Who are you?
✍🏼Ni nini unataka ufanikishe?
✍🏼Ipi ni nafasi yako hapo ulipo? (Including here)
✍🏼Je umuhimu wako ni upi?
✍🏼Ushawahi kujiuliza kwa kiasi gani umebadilisha maisha ya watu? (+ve or -ve)
✍🏼Hivi je katika watu 10 or zaidi wakihitajika wa fani yako hapa utakuwepo??
✍🏼Je ni ipi nafasi yako kanisani kwako? Are you singer? Are you a preacher? Are you a leader?
✍🏼Whats is your effect to the people?
✍🏼Kwanini upo katika zama hizi? (I mean age hii uliyonayo?)
✍🏼Kwanini wewe na sio mimi?
✍🏼Kwanini wao na sio sisi?
✍🏼Kwanini hizi na sio zile?
✍🏼How productive you are?
✍🏼Je nafasi Mungu/Wanadamu wamekupa umeitendea haki?
✍🏼Je siku ukiwa haupo jamii inayokuzunguka itaendelea kuhitaji uwepo wako?
✍🏼What if mitando ya kijamii isingekuwepo ya kutuweka pamoja kama hivi...
Je kuna sababu ya mimi/sisi/ninyi/wewe mngehitaji kunifahamu?
Au tungehitaji kukufahamu?
✍🏼Kwanini niwe na namba yako? Kwanini niwe rafiki yako? Kwanini nikushirikishe ndoto zangu???
✍🏼Je baada ya miaka 5 utaendelea kuishi katika vichwa vya watu kwa jambo gani? (+ve or-ve)
✍🏼Ninaposikia jina lako mahali au unaposikia jina langu mahali (unawaza nini)?
✍🏼Vipi ukipoteza password yako ya INSTAGRAM/FACEBOOK kule unapopost vitu vinaishi na havifutiki mpaka vifutike je baada ya miaka 10 utavihitaji MMEO/MKEO au MTOTO wako avisome???
✍🏼12hours day/12hours night...
how do u manage your time?
✍🏼Why GB 10 per week (no offence) and not GB 2 or GB 1 per week?
✍🏼Why am i online 24/7?
🥁HIVYO BASI
Ni kweli hatufanani:-
-ki-maisha
-ki-mtazamo
-ki-uchumi
-ki-elimu
Lakini Jambo Moja.....
Amua wapi unataka kuweka alama.....
Kuna watu wenye elimu za kutosha kabisa lakini hawana alama yoyote kwenye jamii/hata kwa watu na hata kwenye kanisa
Kuna watu wenye fedha sana kiasi cha yeye mwenyewe akiamua anaweza Jenga kanisa lote peke yake na vitu vyake ndani lakini bado hawajaweza kuweka alama hata kwa mtoto wa miaka 10 ambaye ukimnunulia pipi atakukumbuka
Kuna watu wanamitazamo mingi sana lakini wameshindwa kuokoa jamii zao na familia zao...
Biblia inatuambia YESU akiwa na Miaka kumi na mbili alijua yapi yampasayo kufanya.... ( kukaa nyumbani(hekaluni) mwa Baba yake)
Vipi mm na wewe katika maswali haya machache umewaza nini?
Au umechukua picha ya Joche mpiga kelele?
👉🏿Nikukumbushe jambo moja
Kila UNALOTAKA KUFANYA jiulize (WHY na ukipata BECAUSE) itakusaidia kufikia mafanikio yako au kuachana na hilo jambo
Kama ni DEREVA (Kama KENNY) au BANKER (kama OSCAR) n.k
Ukiamka asubuhi kila siku lazima UJIULIZE WHY naenda kukaa kwenye kiti cha Dereva leo? Why naenda kukaa kwenye kile kiti OFISINI? n.k
Cha ajabu sasa kila siku utakuwa unapata JIBU LAKE tofauti na SIKU iliyopita....
Na hii itakusaidia kufanya kila kitu kwa ustadi kila kitu kwa ufanisi kila kitu kwa uzuri na utakatifu.
🔳MWISHO:
Wahenga walisema
FIKIRI KABLA YA KUTENDA
MUNGU AWABARIKI NYOTE
—————————————-
Mwandishi: Joseph G Mrema
Contacts: 0712851687
Email: josephgeotham4@gmail.com
www.jocheinc.blogspot.com
—————————————-
JocheApp
DOWNLOAD NOW
No comments
Post a Comment