SHUPAVU HALISI
“Kukubali changamoto zinazokukabili na kuambua kupambana nazo unafanyika kuwa SHUPAVU”
“Kutambua ulipokosea na ukakubali, ukajutia, ukatubu(ukaomba msamaha) unafanyika kuwa SHUPAVU”
“Kupigania malengo yako pasipo kuchoka usiku na mchana unafanyika kuwa SHUPAVU”
“Kutoyumbishwa na waliofeli katika malengo yao kunakufanya kuwa SHUPAVU”
“Kuwa na uwezo mkubwa wa kusikiliza kuliko kuongea, unafanyika kuwa SHUPAVU”
“Kuwa na udhubutu wa kuiendea njia unayoiamini pasipokujali changamoto unafanyika kuwa SHUPAVU”
“Kueneza Upendo hata kwa adui zako unafanyika kuwa SHUPAVU”
“Kupunguza matumizi na kuongeza uwekezaji unafanyika kuwa SHUPAVU”
“Kuwainua wengine pasipo kujali nafasi zao, umri wao, jinsia zao unafanyika kuwa SHUPAVU”
“Kuwa na uwezo wa kuzidhibiti hasira zako pindi zinapoinuka unafanyika kuwa SHUPAVU”
“WEWE NI SHUPAVU”
_____________________________
Author: Joseph Geotham Mrema
Contacts: 0712 851687
Email: josephgeotham4@gmail.com
Download our APPLICATION - JocheApp.

No comments
Post a Comment