TEMBEA NA WAZO LAKO
Habari za muda huu na wakati huu? Nikitambua uko katika mihangaiko ya kuhakikisha ndoto zako zinafanikiwa na malengo yako unayasogelea.
Muda huu natamani kuonge na mtu mmoja ambaye ni kweli una WAZO (jambo ambalo unataka kulifanya ili liweze kubadilisha maisha yake).
Ni ngumu kupata WAZO lakini ni rahisi pia kupata WAZO, endapo umedhamiria kubadilisha mfumo wa maisha yako.
Leo siko katika kujadilia juu ya namna ya kupata wazo lakini natamani nijikite sana juu ya watu ambao WAMESHAPATA WAZO lakini bado hawajalifanyia kazi au bado wanawaza pa kuanzia kufanya na kutekeleza WAZO hilo liwe halisi.
Watu wengi hasa VIJANA wamekuwa na ndoto za kuwa fulani na kweli ukiangalia MAWAZO waliyoyabeba ni halisi na yanaweza kubadilisha mfumo mzima wa maisha yao au haya ya jamii yao kwa ujumla na mengine hata Nchi nzima kwenda Dunia. Lakini cha kushangaza kijana huyu au mtu huyu hajachukua hatua yoyote ya kuona WAZO hilo linageuka kuwa mtaji/fedha au chanzo cha kuleta majibu ya maswali katika Jamii.
Kuna changamoto moja kubwa sana ambayo ndiyo inayowakamisha wengi katika kutekeleza MAWAZO yao yaweze kutimia. Jambo hilo ni HOFU ambayo huzaliwa ndani ya mtu au huzalishwa toka nje ya mtu yaani (marafiki, mazingira au hata jamii inayomzunguka)
Hii hutokea mara nyingi unapojaribu kumshirikisha mtu jambo (WAZO) lako na ukapata majibu hasi (yanayokatisha tamaa) na kukwambia hilo HALIWEZEKANI. Kwa mtu huyu kukutana majibu ya namna hii hubaki amekwama mahali hapo.
NAOMBA NIKUTOE HOFU KWA KUKUKUMBUSHA MAMBO MACHACHE:-
1. Usipokubali kwenda kinyume na mawazo HASI malengo yako utazeeka nayo na hakuna atakaye jua kuwa uliwaza hilo au ulipanga hilo.
2. Usitishwe na neno HAIWEZEKANI/ UTAFELI pambana weka katika matendo WAZO LAKO
3. Tafuta wa kumshirikisha MAWAZO yako SI KILA MTU ANAFAA KUSHIRIKISHWA jambo lako
4. Anayekupinga na kukukatisha tamaa MUACHE abaki na mtazamo wake
5. WAZO ni WAZO usipolifanyia kazi LITABAKI KUWA WAZO na HALITALETA MABADILIKO KATIKA MAISHA YAKO mpaka utakapolibadilisha kuwa katika UHALISIA
WAKUUNGE MKONO au WASIKUUNGE MKONO...
Tekeleza WAZO lako kubali kupata mawazo CHANYA na watu CHANYA walioshindwa ACHANA NAO na wala USIAMBATANE NAO..
KEEP FIGHTING
__________________________________
Author: Joseph Geotham Mrema
Contacts & Whatsapp: 0712851687
Email: josephgeotham4@gmail.com
Usiache kutembelea Blog yetu
www.jocheinc.blogspot.com
Pia unaweza KUDOWNLOAD Application yetu katika Playstore yako inaitwa JocheApp
JOCHE Team

No comments
Post a Comment