ONLY QUALITY PEOPLE (O.Q.P)
In yo life u nid O. Q. P.
In yo dreams and Visions u real nid O. Q. P
Kuwa Mwangalifu na Mahusiano uliyonayoooooooo
Mengine ni sumu na yakutoa katika kusudi la Mungu
Mengine yanakuimarisha katika kusudi la Mungu
Toa huduma/msaada kabla ya kulipwa...
Fanya kwanza kwa moyo wako wote na mengine yatafuata...
Wengi huwa tunataka kulipwa kwa kila kitu tunachotaka kufanya...
Jifunze kutoa kabla hujaombwa msaada
Jifunze kuwa na subira... kwa kila hali na kila jambo
O. Q. P (only quality people)
Ni lazima uwe na NJAA/KIU YA KITU UNATAKA KUFANYA
Mtu mwenye njaa/kiu hatulii mpka afanikiweeeee
Mtu mwenye njaa/kiu hapotezi muda hovyo kwa mambo yasiyo na msingi mpaka njaa/kiu yake itulie
Mtu mwenye njaa/kiu hana muda na utani na mambo ambayo haya mwondolei KIU/Njaa yake....
Mtu mwenye NJAA/KIU kufuata njia au namna zile ambazo zitamsaidia kukata NJAA/KIU yake
Mtu mwenye KIU/NJAA huonekana tu hata kama asiposema, na hana uchaguzi katika kuiganga KIU/NJAA yake mpaka pale atakapoituliza
Kuna tofauti kati ya Mwenye KIU/NJAA na Mwenye Ulafi ndani yake ...
Mwenye KIU/NJAA hujua nini anahitajiii ili kutimiza haja yake... lakini Mwenye Ulafi lolote huona ni poa tu ili mradi iende
Mwenye KIU/NJAA hujali wengine wenye hitaji hilo... lakini Mwenye Ulafi huwa mbinafsi
Mwenye KIU/NJAA hufahamu kiwango cha hitaji lake lakini Mwenye Ulafi daima hajui kiwango gani anahitaji yote kwani ni sawa
Ninaposema mtu mwenye KIU/NJAA ni mtu yule mwenye malengo madhubiti, aliyeyafanyia tathmini na kuyapima na kuyawekea mwongozo.....
Na ninaposema Mwenye Ulafi ni yule mtu ambaye hana malengo hivyo hajui nn anataka lolote analoliona mbele yake anataka na huona kuwashirikisha wengine ni kama fursa hiyo itazibwa na hupenda kufanikiwa peke yake....
La msingi jipimeeeeee.... wewe ni yupi kati ya hao wakati na mm najipima pia.....
Karibu tena na Tena
_________________________________________
JOSEPH GEOTHAM MREMA
C.E.O and Founder of Josel Company
Joche Inspirational and Motivational Inc
Visit/Follow us:
Facebook: Joseph Geotham Mrema
Instagram: joseph_geotham_mrema
Tweeter: Joseph Geotham Mrema
Fb Page: Joche Talks
Blog: www.jocheinc.blogspot.com
Contacts:
Whatsapp& Calls: +255 (0) 712 851 687
Email: josephgeotham4@gmail.com
No comments
Post a Comment