FORGIVENESS

FORGIVENESS

(ENGLISH)
Speaking of FORGIVENESS; its so hard to forgive when u are hurt or angry. To those who have hurt others, remember "Sorry doesn't make it right". When apologizing, make sure u know what u did was wrong, that u did hurt someone and how u can make it better. To those who have been hurt n can't forgive, remember everytime u allow yourself to be angry at someone, u allow him or her to occupy your brain "You wont have peace". Sometimes u need to forgive not because u are angry or the person deserve to be forgiven but because u need PEACE OF MIND.

(KISWAHILI)
Unapoongelea kuhusu MSAMAHA; ni vigumu sana kusamehe kama umeumizwa au umekasirishwa. Kwa wale ambao wamewaumiza wenzao, kumbuka "samahani haiwezi kufanya mambo yakawa sawa". Unapoomba msahama, hakikisha unajua ulilolifanya ni kosa, pia kimemuumiza mwenzio na namna ya kurekebisha ulipokosea. Kwa wale ambao wameumizwa na hawawezi kusamehe, kumbuka wakati wowote unaporuhusu nafsi yako kuwa na hasira na mtu, unamruhusu achukue nafasi katika akili/mawazo yako "hutakuwa na amani". Muda mwingine yakupasa usamehe sio kwa sababu una hasira au mtu husika anastahili msamaha ila kwa sababu unataka AMANI YA MOYO
_________________________________________________

Author: Rachel Stephen
Joche Inspirational and Motivational Inc

👉🏼Blog: www.jocheinc.blog.com
👉🏼Email: josephgeotham4@gmail.com

👉🏼Facebook Page: Joche Inspirational and Motivational Inc
👉🏼Whatsapp&Calls: +255 (0) 712 851 687

No comments

Featured post

MAMBO NANE YANAYOWAVUTIA WATEJA WENGI

 MAMBO NANE YANAYOWAVUTIA WATEJA WENGI 1.Kuhudumiwa na Mtu anaye SMILES. Humfanya mteja ajihisi yuko huru zaidi kuuliza na kuamini unaweza k...